mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,936
hujui vitu vizuri wewe,Never say never, sir! 😁😁😁
sikucheki mshamba
hujui vitu vizuri wewe,Never say never, sir! 😁😁😁
Amiin mpwa nashukuru sanaNipo mpwa.
Tangu Selfika yenu isambaratike nanyi mmesambaratika hata kuwapata imekuwa shida.
Natumaini uko poa na unaendelea vyema mpwa unakula michembe tu na kuzidi kunawiri. Allah Aendelee kukutimizia kila unalolihitaji mpwa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Picha yangu umetoa wapi...