Siyo kweli. Hii ni kwaya ilikuwa ina-shoot preliminaries za video ya wimbo unaomhusu Zakayo - yule Andunje aliyepanda juu ya mti ili amwone Yesu wakati Akipita.Kusanyiko likimuaga mchungaji wao anapopaa kwenda mbinguni. Sijui iliishaje hii[emoji848]View attachment 2753056
Sent using Jamii Forums mobile app
Muone! 😁😁😁Ni kweli Wala si uongo tena watumie Yale ya baridi ya kwenye frijii kitu kinakuwa 😋😋😋😋
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]