Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ikiiva sana inasagika inakuwa utopolo. Inatakiwa iwe steamed kama unataka kupata ladha yake halisi. Shida yake kubwa ni kuwa na kiwango kikubwa cha pesticides labda upate ile organic iliyokuzwa bila madawa. Vinginevyo ni kuipotezea tu!
Mboga mboga za wazungu hizo. Sie wengine mchicha umetukuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…