Kama nahisi kauzoefu zoefu fulani hapa mjukuu. Sijapenda! 😁😁Hapo tayari[emoji16], ingekuwa kabla huyo bidada asingeangaika na hiyo zipu[emoji2088]
Kujisitiri mai futi 😁😁😁
Huyu anaweza akawa anapiga bao kweli ohooo!
Kwa kweli huwa tunahangaika kuiomba sometimes😁
Sorry[emoji16],Kama nahisi kauzoefu zoefu fulani hapa mjukuu. Sijapenda! [emoji16][emoji16]
Marahaba mjukuu.Sorry[emoji16],
Babu shijamoo
Hao wawili ,mwenyewe siwataki babu[emoji16],Marahaba mjukuu.
Huna haja ya kuomba msamaha...
Ila mzabzab na Li Foxhound kama familia hatuyataki haya majamaa kabisa hata kuyasikia....
Uko poa?