Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230907_051615_Instagram Lite.jpg
 
Acha kulalamika na kulaumu watu. Maisha yako ni wajibu wako 100% na hakuna aliyezaliwa hapa duniani ili aje kukupa mteremko. Ukilitambua hili na kujibebesha wajibu kamili kuhusu mambo yote katika maisha yako, utaanza kuona mwelekeo mpya. Hata mabifu na marafiki na ndugu eti hawakukusaidia/hawakusaidii utaona hayana maana kwa sababu kukusaidia siyo wajibu wao bali ni sadaka yao tu kwako. Na sadaka huwa hailazimishwi!

Tumblr_l_342767611570648.jpg
 
View attachment 2741736
Pointless
 
Back
Top Bottom