Mkuu bulla haupo serious si itakaua na machimv chumv iyo kitu
Wanapatikana wapi hawa
Hapo anadonolewa mtu
Zipo threads nyingi kumbeNaona dalili za huu Uzi kuunganishwa
Yani nikimuangaliaga simmalizi nabaki kuchekaHuu uzi upo OG yake ni wakitambo kidogo.ila uyo Gwantwa ni kiboko,watu wa mbeya hao kawaida yao
