Tumeipata.. Naelekea ukoTatizo hamuongei na watu vizuriView attachment 2731047
Kutoa sadaka😄
Kama anakamua jipuanamuumiza aisee🤣

Mchungaji Prosper(30) wa kanisa la Pentekosti huko Nnewi, Nigeria amejiua kwa kujirusha kutoka kwenye jengo la ghorofa mbili na kufariki papo hapo kisa ni wivu wa kimapenzi. Ndugu wa mchungaji amesema Prosper alitumia pesa nyingi sana kwa mwanamke aliyekuwa nae katika mahusiano ikiwemo kumsomesha chuo kikuu kwa makubaliano ya kuja kuoana wawe rasmi mke na mume