[emoji120][emoji120]Hii naiskrinishoti na kumtumia kabisa!
Asante mjukuu
Chai[emoji2088]View attachment 2725817
Wana makusudi hawa wanawake acha tuu...yaani sii vibamia mateso tunayopitia acha tuu
Hamna kitu kama hicho...mungu apange niniSi ndiyo Mungu kapangaa hivyo[emoji16]
Sasa hili ndio wazo bora kuwai tokea hapa jf
Hadi kupeana mimba[emoji3]Huko mbali huwaga ni wapi?
Nyie mzitafute siye tuzitumie.Hamna kitu kama hicho...mungu apange nini