Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mroge tu huyu.

Nimekuruhusu !!!

Screenshot_20230815_072531_Instagram Lite.jpg
 
"Nilipagawa na Nabii ndio maana nimekuja Kanisani"- Gigy Money

"Mimi nimeanguka sana japo siwezi kusema nilianguka wapi, na pia naweza kusema siyo kila Nabii ninaemuona naweza kwenda kwenye kanisa lake, mimi ni Gigy Money nadhani mnajua, lakini pia nina ile hali kwamba watanionaje nikienda kanisani. Nilivyomuona Prophet Malisa kwa mara ya kwanza nilichanganyikiwa nikasema eeeh mbona Nabii Handsome hivi nikasema mtu kama huyu alifaa kuwa video King kwenye nyimbo za wasanii inakuwaje anamtumikia Mungu? lazima ana kitu"

"Nikasema mbona yupo kwa Mungu na uzuri wote huu, nikasema ngoja nimsikilize, ndio maana nimekuja hapa kusikiliza kilichopo ndani ya Nabii huyu"- Gigy Money
FB_IMG_1692672474004.jpg
 
Back
Top Bottom