Kama upo FB mbona vingi tu,sina chimbo la kupata vituko sasa[emoji23]
ngoja kuna mtu namalizana nae afu ntapunguza shobo kule😂 hapafaiKama upo FB mbona vingi tu,
Hama kule kwenye danguro[emoji23]
Wewe[emoji1787][emoji1787]
Kule hakufai,ujinga mwingi sana,ngoja kuna mtu namalizana nae afu ntapunguza shobo kule[emoji23] hapafai
haya weka vituko tucheke😂Kule hakufai,ujinga mwingi sana,
Kule wamejaa watu wazima visheti,
mideko kama mideko😂