Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1692176496084.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Harmonize kutoa siri za ndani za Kajala Masanja, Binti yake, Paula amemjia juu na kumuita "Mvuta Bangi" na kumtaka kuwa mbali naye!.

"Kama wewe unavuta bangi mdomoni, mimi navuta matakoni, sasa tulia." ameandika Paula.

Alichoandika Paula Insta Story nimekuwekea katika sehemu ya comments.
FB_IMG_1692182049716.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom