Ethiopia imaemua kufunga na kuzichukulia hatua za Kisheria Hoteli zote, Bar na maeneo yote ya starehe ambayo yameonekana yanaruhusu Masuala ya USHOGA. Kwa sheria za Ethiopia Ushoga ni kosa kisheria na taifa hilo lipo Serious kupinga na kukemea vikali jambo hilo.