Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1691784134081.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanadada Natalia(31) aanika ubora wake mpya

Mrembo huyo wa Urusi Mbeba vitu vizito ameolewa miaka kadhaa iliyopita na mume wake ni huyo aliyembeba….Picha Zaidi Kwenye Comment

Natalia alianza kubeba chuma akiwa na miaka 14 ambapo mwanaume aliyehamasisha aongeze bidii awe mwanamichezo ndie huyo aliyekuja kumuoa baadaye.

Mume wake anabeba chuma pia Ila hana mwili mkubwa kama wa mkewe huyo ambaye ameshashinda mataji kadhaa. Natalia ni mwanamke hajawahi kuwa mwanaume kabla kama ambavyo unaweza kudhani sababu ya misuli aliyonayo
FB_IMG_1691784012180.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanadada Natalia(31) aanika ubora wake mpya

Mrembo huyo wa Urusi Mbeba vitu vizito ameolewa miaka kadhaa iliyopita na mume wake ni huyo aliyembeba….Picha Zaidi Kwenye Comment

Natalia alianza kubeba chuma akiwa na miaka 14 ambapo mwanaume aliyehamasisha aongeze bidii awe mwanamichezo ndie huyo aliyekuja kumuoa baadaye.

Mume wake anabeba chuma pia Ila hana mwili mkubwa kama wa mkewe huyo ambaye ameshashinda mataji kadhaa. Natalia ni mwanamke hajawahi kuwa mwanaume kabla kama ambavyo unaweza kudhani sababu ya misuli aliyonayoView attachment 2714916

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mumewe mbona haonekani
 
Back
Top Bottom