Inanikumbusha zamani before Bongo fleva zilikuwa ndio ngoma setu .unacheza kwenye harusi hiyo ata hakuna anayekujua wanakuja kuwatunza ..wakimaliza kutunza unaondoka . kwenye donatiiiii
Nianze mie kupokea jamani, tunaanza lini huo mchezo[emoji3]
Hiki kinyang'unya kinakera sana