Tumeishindwa Bandari tunatetea kitambaa😂😂😅😅…bendera ya nchi inachafuliwa, nembo ya taifa kabisa daaadeki! Na vyombo vya ulinzi na usalama vipo tu, vimekaa kimya! Hii nchi aiseee!…View attachment 2710760
Sent using Jamii Forums mobile app
huwez fanya kitu😅😅😅 zishageuzwa chips kuku😜Zitamtoka puani, nina uchungu wa hela...yaani ha ha ha
Hahahaaa!.