Basi Bwana Miaka Ya 2013-2014 Mambo Yangu Hayakuwa Mazuri Kabisaaaaa, Nikapata Wazo Niende Nyanda Za Juu Kusini Kwa Mtaalamu Yule Anayetoa Utajiri Wa Kuku Kudonoa Punje Za Mahindi…..NIKAFIKA!![emoji16]
Akanambia Kuku Huyu Punje Atakazodonoa Ndo Idadi Ya Miaka Utakayoishi Ukiwa Na Utajiri Mkubwa Kisha Utakata Moto Ghafla[emoji174]Yani Utapata Kifo Cha Kushtukiza Hutapata Hata Nafasi Ya Kutubu!! Nikamwambia Sawa Mimi Kikubwa Niwe Tajiri Muachie Huyo HEN [emoji239] Adonoe!!
Kuku Alidonoa Punje Mbili Tu Akasepa!! Nikajisemea Moyoni Mmh Kwahiyo 2016 Tu Sitoboi!!
Oyaaaa Mwaka Wa 10 Huu Nadunda Na Sijaona Hata Huo Utajiri Wenyewe!![emoji16]
Mungu Bwana Ndio Kila Kitu Zile Zilikuwaga Sound Tu!!
Nina Mwanangu Aliendaga Kuku Akala Kama Punje 20 Hivi, Aaah Mganga Akamwambia Sio Kweli[emoji16]Kuna Kitu Nimekosea Turudie Tena[emoji16]
Sent using
Jamii Forums mobile app