Hii wapi mkuu?.
Mmmh!Body imesima hatari.
Hahahaaa!.Nampenda Mond lakini kwa upuuzi huu asipoukemea ataanguka
MAAJABU PICHA YA DIAMOND YAONEKANA ANGANI
Unaambiwa leo majira ya saa 00:30 usiku maeneo ya Kigamboni, Daraja la Nyerere imeonekana picha ya Msanii wa Tanzania Diamond Platnumz juu ya anga. [emoji848]View attachment 2701031
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha sana
Wewe ni mwalimu wa wapi?
Wewe ni mwalimu wa wapi?