Teknolojia ni konyoo, masaa kadhaa niliweka picha mbili za Kasinde zikiwa zimeeditiwa kwenda sura ya katoto kadogo na nyingine sura ya barbie girl.
Kwa walioitizama, hakuna aliyefikiri nyumanya edited photo ni bibi Kasinde asilia na sura ilikiwa wazi wazi...
.
Kweli nimekuwa kituko mtandaoni, wacha nilale sasa, kesho nayo ni siku.
.
View attachment 2703691
Mulemule...