Ngedere1
JF-Expert Member
- Jun 9, 2022
- 369
- 786
Cheusi mangala
Cheusi mangala
Dawa yako iko jikoni inachemka....View attachment 2703451
Dawa ya maumivu ya mgongo aka Asprin
Ukiwa sirias na kuacha unachowaza hutolalamika na maumivu ya mgongo tena 😅.
Mulemule...Teknolojia ni konyoo, masaa kadhaa niliweka picha mbili za Kasinde zikiwa zimeeditiwa kwenda sura ya katoto kadogo na nyingine sura ya barbie girl.
Kwa walioitizama, hakuna aliyefikiri nyumanya edited photo ni bibi Kasinde asilia na sura ilikiwa wazi wazi....
Kweli nimekuwa kituko mtandaoni, wacha nilale sasa, kesho nayo ni siku..
View attachment 2703691
Mulemule...



Huyo kwasasa muite shemeji.. Sawa blazaDawa yako iko jikoni inachemka....
Najua kosa lilikuwa langu....
Subiri tukutane tena Butiama...
Mideko amerudi tena na ubora wake 😄😜😜