Huyo binti yupo FB group la waha wa kigoma
Hao ndio binaadamu [emoji23].. Zuchu kaimba kaingiza hela wao wamebaki na vijembe [emoji23]
Wakitoka hapo wata practice na kifo kisha watafika mpaka mochwari na makaburini [emoji23]Wamefata nini Muhimbili, au wanafanya real practical action[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]