Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,871
- 37,752
Tatizo la chui hakai kufala fala!
Tatizo la chui hakai kufala fala!
Haya mambo yalikuwa yananoga miaka ile tulikuwa kwenye balehe ..utashangaa jitu lipo kwenye 30s bado linataka kuchat hivi...nakublock dakika sifuri[emoji1787][emoji1787]View attachment 2697299
At 30s tunatuma nauli tuHaya mambo yalikuwa yananoga miaka ile tulikuwa kwenye balehe ..utashangaa jitu lipo kwenye 30s bado linataka kuchat hivi...nakublock dakika sifuri
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Wewe na mzab ndio vijana wa hovyo mimi simoHabari nzuri tu kijana wa hovyo. Kijan mwingine wa hovyo mzabzab mbona simuoni
At your 20s haukuwa wa hovyo[emoji16]
[emoji16][emoji16] aah wapi...tena kama ni u- hovyo basi ninao sasa hivi, huko kwenye 20s nilikuwa so innocent [emoji1787]At your 20s haukuwa wa hovyo[emoji16]
Inaonekana ulikuwa geti kali[emoji16][emoji16][emoji16] aah wapi...tena kama ni u- hovyo basi ninao sasa hivi, huko kwenye 20s nilikuwa so innocent [emoji1787]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Wala...nimekulia kwenye mazingira ya kawaida kabisaInaonekana ulikuwa geti kali[emoji16]
mbona tunapeana majina ya hovyo hovyo tena jamani.Habari nzuri tu kijana wa hovyo. Kijan mwingine wa hovyo mzabzab mbona simuoni
At 30s watu wantulia wewe ndio unakuwa wa hovyo...ulikuwa wap wakt woteWala...nimekulia kwenye mazingira ya kawaida kabisa
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
kwa kuwa sijamgegeda basi hana haki ya kuniweka kwenye hilo kundi[emoji16][emoji16]kaka vipi.... Khantwe anasema miongoni mwa vijana wa hovyo nawewe upo
[emoji16][emoji16] hata najua basi.At 30s watu wantulia wewe ndio unakuwa wa hovyo...ulikuwa wap wakt wote
Una uhakika ganikwa kuwa sijamgegeda basi hana haki ya kuniweka kwenye hilo kundi