kama kuna mwanamke hafurahii kuwa na mwanaume anayekuwa nyuma yake kumpa attention, furaha na support basi huyo mwanamke anampenda mwanaume mwingine.
Inawezekana ukiyapa nafasi nyingine mahusiano yako, sio maigizo ni maamuzi na makubaliano tuu.
All the best 😉.