Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230719_140143_Instagram Lite.jpg
 
"a picture is worth a thousand words". They say.

Ila kuijua context (muktadha) ni muhimu katika kutafsri picha ama cartoon.

Kwa hizo hapo obviously ni hili la bandari na DP World (DPW).

Hapo inaonekana tayari TPA imeshabebwa na DPW na inapelekwa kusikojulikana. Ila mashaka ni kwa DP akiamua kukunja kona ka TPA katakula mzinga.

Kwa upande mwingine Tanesco imekwama kwenda na ni kama inaionea gere TPA.

Na hilo bus huenda ikawa linawakilisha kampuni ya mwendo kasi. Napo hali si shwari. Huku wazee wa maji nao wakiwa chali...

Justification ya kuwapa DPW bandari ni kwamba for many many years tumeshindwa kuiendesha/kuziendesha wenyewe.

Je vipi na hayo mashirika mengine?Nayo apewe DPW atusaidie kuyaendesha?

You can have many more interpretations.
----

Credit: Mdau WhatsApp group
IMG-20230719-WA0058.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom