Ushakiwasha tayari 😁😁😁🙌
Li Zari mbona hata mtako halina? Ni Lizuri tu nachurale bana! Watoto sijui watano lakini hakuna kitambi wala nini mpaka linawazidi walio anda 30!makeup bana😂
sema nyie mnaangalia tu nyuma😂
Alie tujue moja, tumechokaGood morning Tanganyika.. Bundiii bundii huyooo anataka kulia?[emoji23][emoji1544][emoji1550]View attachment 2691608
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo picha asseee.
Kama na watumishi wa Bwana mmefika huko basi hali ni mbaya 😁😁😁Alie tu tujue moja, tumechoka