Tafuna miwa Hadi Taya ziombe pooo[emoji23][emoji23][emoji23]Mpwa. Nimeweka stock ya kutosha stoo na kazi inaendelea [emoji16][emoji16]
View attachment 2688258View attachment 2688259
Huku Misungwi yaani mtu ukiamka tu unaamka na miwa. Halafu nadhani hii mbegu ya sasa imechakachuliwa maana miwa ni mitamu hatari!Tafuna miwa Hadi Taya ziombe pooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hapana mjukuu. Huyu ni mjukuu mwingine. Tumeshaongea na kumaliza ishu yetu 🙏🏿
Miwa naipenda Sana na ni wakati wake Sasa,. tafuna babuHuku Misungwi yaani mtu ukiamka tu unaamka na miwa. Halafu nadhani hii mbegu ya sasa imechakachuliwa maana miwa ni mitamu hatari!
Sasa hivi ninapoandika hapa nishateketeza mitatu na mpaka jua likachwe lazima 10+ itakuwa ishaenda na maji. Taya zimezoea! [emoji16][emoji16][emoji16]