Mke aliuliza maoni ya kisheria kutoka kwa mume wake wakili kuhusu kwa nini wake wanapaswa kuwapikia waume zao chakula. Alisema kulingana na Mkataba wa Geneva wafungwa wote lazima wapatiwe Chakula
Chukua karatasi au takataka zo zote. Zimwagie mafuta ya taa halafu zichome. Moshi na harufu yake zitamfanya atoke ndani ya nyumba haraka sana. Angalia usiishie kuchoma nyumba!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.