Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,101
- 828,958
- Thread starter
- #171,281



Mungu ni mwema 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Kutoka kwa madawa ya kulevya na ukahaba hadi nyenzo ya MKE. MUNGU anaweza kumbadilisha mtu yeyote wakati wowote. Mwenyezi abadilishe maisha yetu kuwa boraView attachment 2689555View attachment 2689558
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjukuu wako ana tako skonsi zuriHuyo ni mjukuu wangu.
Sipendezwi kabisa na haya maongezi 😁😁😁