Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Alishaolewa....Ndoa ngumu sana siku hizi mjukuu. Hasa kupata mtu mnayeelewana, mkacheka na kuwa washikaji mkafurahi hata kwa kidogo Allah anachowajalia ni bahati sana siku hizi...
Huyu kweli hajawahi kuolewa huko nyuma akaishia kuchezea ndoa yake?