Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

94fe4ae52956e524993f618113af0db8.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
JE WAJUA?

Baada ya watoto wake kuwa mashabiki wakubwa wa undertaker,mmoja kati ya wacheza mieleka maarufu sana wa WWE.

Bilionea kutoka Saudi Arabia, Turki bin Abdul Mohsen bin Abdul Latif Al Al-Sheikh is alimlipa Undertaker aje nyumbani kwake kucheza na wanae wa wiki mzima ili kuwafurahisha tu watoto.

Bilionea huyo ambaye ni mshauri wa familia ya kifalme ya Saudi Arabia,waziri wa michezo na burudani pia mmiliki wa Almeria FC ya spain aliahidi kuuleta mchezo wa Mieleke wa WWE nchini kwake Saudi Arabia.
FB_IMG_1689220863281.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa bwana!

Mkurugenzi wa Kampuni ya Meta Mark Zuckerberg ameonekana akifanya mazoezi na magwiji wawili wa Ngumi za Kulipwa waaliowahi kushinda mataji ya Mapambano ya juu kabisa kwa kutwaa Mkanda wa UFC World Champions, Israel Adesanya na Alexander Volkanovski kabla ya pambano lake linalowezekana kutokea kati yake na Elon Musk !!

Mark Zuckerberg na Elon Musk wamekuwa wakifanya mazoezi kwa sana MMA katika wiki kadhaa zilizopita.

FB_IMG_1689225824798.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom