Ila katika hesabu zako za kuoa kumbuka na hili: Miili ya wanawake hubadilika sana hasa wakijifungua watoto kadhaa na mara nyingi kuongezeka uzito na hata kuwa shepulesi ni jambo la kawaida. Lizingatie hili kwenye fomyula yako utakapoanza kutafuta yule mmoja wa kuishi naye milele vinginevyo utakuwa unaoa wanajifungua mtoto mmoja wananenepeana wanaota vitambi unatimua na kuoa mwingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.