Due to lack of oxygen and light, viumbe wanaoishi kule ni wachache. Ingekuwa huku juu juu sharks wangekuwa wameshagawana mpaka vichwa!
Front landing gear failure?
Hili ndo litakuwa linakuja bandarini kwetu DP World wakichukua usukani!
Shetani hana rafiki. Sijui kwa nini hii ni ngumu kwa baadhi ya watu kuelewa...