Tamu sana, wnaojua faida za tikiti kama mimi tunaipenda.
Nchi za wenzetu hizo hawarembi


basi mimi nikawa natafuta kituko hapo kikowapi, nikazumu nikidhani labda apo alipo mkwida!!!!! DaahHao wa chini copy and paste
Ah ah ah hii ni kwel yaan, niliachwaga na bus kwenda shule zamani sana yaan nililiaaa ubungo pale na ka uniform kangu nilikuwa nawaza adhabu naifanyaje
Ma feelings ya hatari