Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

.
View attachment 1400940
Niliiangalia hii picha zaidi ya mara 10 hakuna nilichoambulia, lakini hayo magari ni halisi kabisa.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
IMG-20200328-WA0001.jpeg

Jr
 
Unatembea kilometa 10 na begi mgongoni kwenda kazin Unafika pale kazini kwako unagundua kwamba funguo za ofisi umezisahau nyumbani.

Unarudi nyumbani ukiwa na hasira na unaamua kuacha begi mlangoni pa ofisi. Unapofika Nyumban unagundua huna funguo za mlango wa Nyumba yako na unakumbuka zipo ndani ya begi uliloacha kwa mlango wa ofisi.

Unaporudi ofisini kuchukua funguo, unaamua kubeba begi lenye funguo unarudi nalo nyumbani.Ulipotoa funguo za mlango wa nyumba ktk begi ndipo unagundua kwamba funguo za ofisi pia zipo ktk begi.

Hapo ujue kuwa ulidangaya umri ulitakiwa uwe umestaafu

Sawa
 
Back
Top Bottom