2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,725
Anataka kumfanya nini??Wanayopitia madada wa kazi huko kwa wenye imani zaoView attachment 2660095
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha[emoji23]Mi nilijua hilo ni sinki la kukojolea wanaume yale mnakojoa huju mmesimama....[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechukua kama dakika 2 file ku download na kujua kumbe niyo ni mashine ya kutolea tissue....[emoji1][emoji1]