See For Me
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 630
- 1,815
Watu kuanzia mwaka 1935 mpaka leo wanatembea kutoka upande mmoja mpaka mwingine wa Golden Gate Bridge kule San Francisco sembuse Wasukuma?View attachment 2657803
View attachment 2657805
View attachment 2657806
Kazi iendelee...💪💪
Nasubiria vituko vya wasukuma daraja likiisha...
Natabiri wako wasukuma wataotembea kwa miguu kwenye hilo daraja toka kingo moja hadi ya upande wa pili...😄😄😄
Kha huyu wa sec 3 kweli apigwe makofi kabisa bora ta mie nafika dakika 2