antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,709
- 130,600
Mother of Morden Tanzania (MMT)
Itabidi tukamfufue Albert Einstein na ma Relativity yake aje atuambie muda utaisha lini maana ni kizungumkuti 😁😁😁😁
😳😳😳😳😳😳Kwasasa limefukiwa.
Ile ni sawa na reactor ya kinu cha nyuklia mzee baba. Joto inabidi liwe katika viwango vinavyotakiwa vinginevyo utaharibu Uraniun iliyoko kwenye core rods hali ambayo inaweza kupelekea mtambo mzima usizalishe umeme.Alafu kwa nini vuzi mpaka kwenye pumbuz? Sijajua umuhimu wake ni nini tueleweshane jamani