Haka ka Tulia kana roho ngumu sana!
Mi nilihonga ukwaju...nikapewa shanga kama kishika tumaini. Sikulala karibia mwezi! 😁😁😁
Walimtumia vizuri kumdhalilisha Mwendazake, imekuwaje tena? Wameacha kumlipa ama? Au walidhani shetani ana rafiki?
Jongwe ashikilie hapo hapo atuondolee hiki kimtu aisee maana kina roho ya ajabu sana!Salam Tulia Sugu awe nawe unalialia kuliko wanawake wote.... Sala imekatwa kuepusha tafran
View attachment 2651893
Nilishakwambia...na narudia tena....unaona mzee huyu slimthick alivo hatari😋 SDY haingii ndani....