Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20230607_154702_681.jpg
 
Ifike mahali kama taifa tumuombe msamaha chifu Mangungo wa Msovero. Yeye hakusoma na hakuwa na maarifa aliposainishwa limkataba lile libaya na jasusi bobevu la Kijerumani - Carl Peters.

Sisi tuna kisingizio gani kama siyo njaa tu na uhayawani wetu? 😳😳😳

Screenshot_20230609_000222_Chrome.jpg

Screenshot_20230608_235546_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom