Hiyo ni ishu nyingine!
Maana Ph.D hazina uhusiano wa moja kwa moja na ustawi wa kiuchumi. Ndo maana ukifika tu pale stendi kuu mjini Bukoba unaona kuwa kuna kitu hakiko sawa japo huko vijijini ndani ndani wamejitahidi 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 2644437