πππHahaha...
Na Ke hufikiri Me wanakinga tu mpunga kama Mvuaπ
Hii picha sijaiona kweli tinder au badooπ€π€π€π€
2025 huu mmea uhalalishwe vijana wa kitanzania waanze kuitumia rasmi. πππKwani kuna aliyewakataza mkuu?
Wanashauri tu kuweka label kama kwenye sigara lakini vijana wa Chugga mtaishije bila ganja? Nyie pulizeni tu!
Napataje soft copy ya hiki kitabu?