Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Wana mpango wa kuja kumzika nyumbani kwa heshima zote anazostahili.Mobutu alikuwa madarakani kwa miaka 32 (1965-1997). Alikufa uhamishoni, kwa saratani ya kibofu, mwaka huo huo alio ondolewa madarakani. Hili hapa kaburi lake (& wanawe 2) huko Rabat, Morocco. Ingawa alikuwa amejipa majina mengi makuu, kaburi lake lina alama za herufi za kwanza - MSS, hakuna picha, hakuna cheo hakuna madoido yoyoteView attachment 2640167
Sent using Jamii Forums mobile app
Lishangazi hili usipotoka na gono sijui🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa nenda wewe mwenzangu na mie utalewa tusi ushangae. Wanawake hawa jamani mbususu nzuri hii anaenda kumpa mwarabu kweli😭😭😭😭😭😭😭
Kwakweli wasiwe wanakuonea😂😂😂😂😂 itabidi nikaoge maji ya bahari jamani