Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1685371720010.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sarafu za Kirumi za Kale za ngono

Sarafu hizi zilitumika kama ishara za kuingia kwenye madanguro ya Kirumi[emoji845]

Kulingana na Suetonius, kubeba sarafu yenye sanamu ya mfalme kwenye choo au danguro kunaweza kuhesabiwa kuwa uhaini. Kwa hivyo, hizi ndizo sarafu pekee zilizotumika kwenye madanguro....
FB_IMG_1685399973918.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app

Kama sarafu yako ni mbuzi kagoma huwezi pewa kifo cha mende au sefuli
 
Back
Top Bottom