Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kijana wetu wa kugawa dislike simuoni kumbe mods walikula kichwa? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

Wamwachie bana arudi maana aliichangamsha JF kwa namna ya kipekee sana...

Bro, mi naomba ukirudi endeleza dozi ya dislikes kama kawa. Heshima ilianza kurudi hapa JF ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ–๐Ÿ–๐Ÿ–

 
Demu gani kwanza ana gheto alafu akakupa na utamu ghetoni mwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ