Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Uaminifu umekuwa adimu Tz mpaka unaitwa Maajabu
Kweli duniani maajabu hayaishi
Screenshot_20230524_195751_Instagram.jpg
 

Out pf topic..

Baba handsome, binti beauty halafu kafanana na baba....

Wale wanaosema sura ya baba sio wote wabaya...

Kuna wanaume wamefanana na mama zao, akija kuzaa binti akafanana nae basi sura ya baba imekaa poa....

Ila binti wa kisukuma au kinyakyusa akifanana na baba yake, kwisha habari yake.....😅😅😅
 
Back
Top Bottom