Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] OSHA mecho kidogo hasira zipungue
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] OSHA mecho kidogo hasira zipungueView attachment 2630454
Watu weusi wananiudhi sana (mwenyewe nikiwemo). Kazi kulalamika tu wakati adui wao mkubwa ni wao wenyewe. Mtu mmoja anakwapua Tsh. trillion 1.5 mali ya umma na bado mnasimama majukwaani na kulaumu wazungu.

Please niwache!

 
Hivi ni mtu ngapi zilizotoka Misri ndo zilifika nchi ya ahadi?

Mungu Alizinyoosha zingine zote zikaangamia njiani.

Ni kwa Neema ya Yesu Kristu tu kwa kweli maana Mungu wa Agano la Kale aisee Anatisha hatari πŸ˜πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…