Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1684230638830.jpg
 
tatizo uzito 😂

Kausha basi kamanda....

Kausha....

Jipe muda. Miaka 20 hiyo....mpaka ufike kwenye 40s huku au 60s utakuwa ushabahatika kuonja supa dupa yutong japo moja. Na utajilaumu balaa kwa miaka uliyopoteza ukihangaika na mifupa.....

 
Back
Top Bottom