Vituko mitandaoni. Tupia chako

Asante sana

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwanini vipindi vya weather huko nje wanapenda kutumia warembo sana?pamoja kwa kwamba kwenye television warembo ni kawaida ila kwenye weather forecast wanaweka warembo zaidi?
Sijui asee mkuu, babu unaweza tujibia mkuuu 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…