Vibonge ni rahatupu mkuu...Hakuna gubu. Hakuna makelele. Hakuna uchoyo. Hakuna mihasira na kisirani kisicho na sababu...na inabidi uwe mwangalifu maana kwa amani na ridhiko utakalolipata usije kushangaa uzito unaongezeka kwa kasi ya kutisha!
Mama E. Offer hiyo. Nimeupenda sana huu msuko. Naomba ukasuke pulizi...Ai wili pei [emoji16][emoji16][emoji8][emoji8][emoji8][emoji2099][emoji2099][emoji2099]