Kwa mujibu wa Katiba hii ya mwaka 1977 dhahabu ikikutwa shambani kwako aridhi ni ya serikali lakini bangi ikikutwa shambani kwako aridhi ni yako. Tunataka Katiba Mpya itakayotoa mamlaka ya umiliki ardhi kwa watu ili kama ardhi yenye bangi ni yako basi na yenye dhahabu iwe yako