Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

0dd33ef1-4b32-4f5d-a620-95ad818f4f73.jpg
 
Sijaelewa ni kwa nini umenitag mkuu wakati ni vimbaumbau tupu. Ukitaka twende sawa na kutoharibiana mood/siku basi jitahidi sana unitag kwenye BBWs au SBBWs. Mambo ya kuvunjika vidole mi sitaki kwa kweli 😁

View attachment 2619942
Duuuh sawasawa ila lengo lilikuwa ni kuonyesha ile nukuu "not married and fat" haikuwa kuhusu hao vimbaumbau 😅😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom